Marobot yawasili Tanzania

unprejudiced

JF-Expert Member
Jan 27, 2017
3,503
2,863
Zamani nilikuwa napenda sna kwenda kuangalia Cinema. Nikamjua Bruce Lee ,Chuck Norris and the Like of Rambo,Van Dame and Arnold. Teknologia ikatuletea pia Marobot. Among ya sifa au tabia ya maroboti ni kufanya mambo kadiri yalivyokuwa programmed no more no less. Nimefurahi Sana kusikia yamewasili Tanzania na yapo kila mahali .Marobot hupokea kila kitu bila kuuliza na huwa hayawajibiki kwa actions zao. Robot akipokea amepokea na akitoa ametoa. Majibu yake ni yale yale mana si yako programmed. Usipoteze muda kubishana na Robot mana kwa jinsi alivyokuwa programmed. Utakuja kuonekana wewe ndo kichaaa unabishana na Robot. Marobot hajui umri kumbe usishangae hata ukikuta anatukana mzazi wake ,kiongozi au hata mtanzania mwenzake. Robot haoni mbali zaidi ya pua yake. Naomba Viongozi wetu wa nchi fanyeni kazi. Sisi marobot mtutafutie programms mpya. Mtuonyeshe kuwa tunapaswa kuwajibika sio tu kwa maisha yetu bali hata maneno yetu iwe kwa kificho au hadharani. Watanzania sisi ni wavivu sana na ndo mana kila mtu ana simu na hakosi bundle ila kelele kibao. Lini tutabadilika ni pale ukweli utakapobaki ukweli.
 
Mkuu ulikuwa hufahama hata ATM ni robot?
 
Unaweza kuwa unawasema viongozi wapendwa. Angalia sana huo ni uchochezi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom