Kwa sasa BBC world service inapatikana kwa freequency gani?

Socw

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
1,329
2,644
mimi nilikuwa mpenzi wa kusikiliza redio ya bbc ambayo ilikuwa inapatikana katika 103.3 fm, sasa masafa hayo inasikika miziki tu...na nasikia eti kwa sasa masafa hayo yameanza kutumiwa na radio mpya ya kusaga..je bbc inapatikana kwa masafa gani?
 
Back
Top Bottom