Aina ya uandishi huu hauna tija wala hauna ujumbe

passive

JF-Expert Member
Oct 19, 2016
240
171
Wanajamvi naomba huyu mwandishi Ibrahim Yamola wa Tanzania Daima atuambie ana maanisha nini akisema "RC Makonda amninginiza Lukuvi" kama front page hii ya Jumapili ina habari gani mpya?

Ukisoma maelezo yake ameandika pumba tupu, nilitegemea atoe hoja ya kuthibitisha jinsi huo uninginizwaji , akithibitisha kanuni na sheria juu ya umiliki ardhi ambazo zinatuambia ni nani mmiliki halali wa eneo hili.


Nalalamika kwa sababu kanifanya nipoteze hela yangu na muda wangu kulitafuta gazeti hili Leo, kumbe pumba tupu.

Leo itakuwa mara yangu ya mwisho kununua gazeti hili.


9c809a3b533c931421801abe221783c9.jpg
 
ha! bado unanunua magazeti ya karatasi!
hivi kwenye mtandao habari zinakuwa na mapungufu?
 
Back
Top Bottom