Usafiri wa Songea kupitia Mtwara na Hotel ya wastani Songea mjini.

Nkungulume

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,988
1,209
Wa jamvi habari za asubuhi tafadhali naomba kwa mwenye ufahamu wa mabasi ya kwenda Songea kwa kupitia njia ya Mtwara na bei zake tafadhari.

Pia nataka kujua Hotel/Guesthouse yenye bei nafuu kuanzia sh. elfu 20 na kushuka china katikati ya mji ikiwezekana iwe karibu na Msikiti.

Nawasilisha.
 
Basi -Superfeo,maning nice.
Guest-Chirwa,ziwani, nk nyingi zipo katikati ya mji na msikiti pia upo katikati ya mji karibu na soko kuu la Songea .
Karibu Songea .
Asant mkuu haya yote yanapitia Masasi?
 
Basi -Superfeo,maning nice.
Guest-Chirwa,ziwani, nk nyingi zipo katikati ya mji na msikiti pia upo katikati ya mji karibu na soko kuu la Songea .
Karibu Songea .
Ziwani pako standard kwa bei unayotaka sio pabaya kivile,basi zuri super Feo full WiFi na unachaji simu njia nzima toka Dar mpaka Songea.

Pili mzee anakwepa kupita kitonga nini
 
Natokea Dar mkuu

Nimepita hiyo njia kwa mara ya kwanza Mtwara-Songea-Mbeya then Mbeya-Songea-Mtwara mwisho wa mwaka jana sikujuta...!! Hoteli nitashindwa kukushauri kwa kuwa sikupata muda wa kuzunguka mjini. Nilifikia Shinyanga Lodge ni ya kawaida sana...!! Iko opposite na Majimaji Stadium...!!

Tafakari...!!
 
Hiyo route ni dar-lindi-masasi- songea, mabasi kuna superfeo, Ota, Selous, Manning nice nauli sina uhakika sana, kwa upande wa guest kuna shinyanga annex iko poa sana, ipo karibu na uwanja wa majimaji mjini songea na msikiti upo jirani.
 
Wa jamvi habari za asubuhi tafadhali naomba kwa mwenye ufahamu wa mabasi ya kwenda Songea kwa kupitia njia ya Mtwara na bei zake tafadhari.

Pia nataka kujua Hotel/Guesthouse yenye bei nafuu kuanzia sh. elfu 20 na kushuka china katikati ya mji ikiwezekana iwe karibu na Msikiti.

Nawasilisha.
Nionemimi maana naishi songea mita yote naijua
 
Back
Top Bottom