Mheshimiwa Rais utakuelezaje tukuelewe

13codes

Member
Dec 17, 2016
14
6
Wakuu
kila mmoja ni mzma ndo imani yangu.
Kama kila mmoja wetu ambavyo amesikia hizi tuhuma za Mkuu wa Mkoa kugushi vyeti bado ni tuhuma hatukatai ila najiuliza kama ikija kudhibitika ni kweli Mheshimiwa Rais naye achunguzwe,wakuu hii scandal siyo jambo dogo sema sisi Watanzania kila kitu tunakijadili kisiasa na kutoa majibu ya kisiasa
 
Mheshimiwa achunguzwe kwa sababu gani? Katiba inasemaje... Kwamba kabla ya Rais kumteua mtu anakagua vyeti kwanza?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom