proxy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 1,481
- 1,356
Kuna matapeli waliingia katikati ikiwemo wawakilishi wa Dangote
Hata katika ajira ya magari kameudwa kakampuni kamechukua mpaka Rushwa kwa ajili ya ajira ya udereva .
Nataka nikuhakikishie Dangote
"Ndani ya siku saba tuu utapata eneo la kuchimba makaa ya mawe mwenyewe na hata ukitaka kuuza kauze sisi tupate hela .
Gesi itakuwa imefika hapa Jumatano ijayo . Viongozi wenzangu msisubiri kila kitu mpaka mm niseme matatizo mengine tatueni wenyewe. "Magari haya yalikaa bandarini kwa miezi miwili nilipopiga simu kesho yake yakatoka hapo nikagundua kuna tatizo kubwa "-JPM UTAWALA WA RAIS MAGUFULI NI KIBOKO
Tangu tupate uhuru hakuna Rais amewahi fanya hili. Huyu Rais Magufuli sio wa kawaida aisee nchi yote ifunge na kumwombea Rais Magufuli. BOT kwa Mara ya kwanza imeshusha riba za Mabenki kutoka asilimia 16 mpaka asilimia 12.
Hapo awali Benki zilikuwa hazikopi BOT kutokana na riba kuwa Kubwa iliyowalazimu Wananchi kulipa riba ya asilimia 25.
Kutokana na kushuka huku kwa riba ni dhahiri mikopo kwa mabenki itaongezeka na riba kwa Wananchi itapungua. Nani kama Rais Magufuli?
Hili lina faida Kubwa. Kwanza mzunguko wa pesa unakwenda kuwa mkubwa. Msamiati wa pesa kupotea mitaani hautakuwepo tena.
Inakwenda kuchochea uchumi kwa kuongeza uwekezaji kwa sababu wengi watakopa na hivyo mzunguko wa pesa kuwa mkubwa.
Pia itasaidia kudhibiti mfumuko wa bei ya bidhaa na huduma unaonyemelea nchi kwa sasa.
Hakika, nchi imerudishwa kwa Watanzania wanyonge.
Mungu Mbariki Rais Magufuli.
Mungu ibariki Tanzania
Shilatu E.J