Kama anafanya hivi, na anatarajia kugombea 2020, akishinda itakuwaje, akiwa hataraji kugombea tena?

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,460
Wakuu nawazaa kama Mheshimiwa zaidi, anatenda haya, akiwa na uoga na matarajio ya kuomba tena kura, amesahau aliomba kwa pushap, any way atatumia mbinu nyingine, tuseme wakampitisha tena,
atatutendeaje ikiwa katiba haimruhusu kugombea?
 
Huyu baba sio mzima.bora aende akazindue Milembe hospital wanaweza kumjua mtu wao
 
Wakuu nawazaa kama Mheshimiwa zaidi, anatenda haya, akiwa na uoga na matarajio ya kuomba tena kura, amesahau aliomba kwa pushap, any way atatumia mbinu nyingine, tuseme wakampitisha tena,
atatutendeaje ikiwa katiba haimruhusu kugombea?
Kwa mwenye mtazamo yakinifu ni zahri kabisa kuwa italeta tabu 2020 but wanyama wameshatiwa hofu kiasi kikubwa Na pia dictatorship democracy it's still waving among of us. Pa kukimbilia hakuna so that Sheria wameiweka chini ya nyayo za miguuu yao ,,,,,,,picha acha iendeleee tuuu
 
huu ukweli wako unanitisha
 
Ikiwa kaweza kuiweka Mahakama, sheria na bunge mfukoni sioni kushindwa kuiweka tume ya uchaguzi mfukoni na kufunga goli la mkono.

Ndukiiiii
 
Back
Top Bottom