Mpiganji mashuhuri
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 115
- 51
Katika hali ya kushangaza na kiburi cha madaraka mkurugenzi halmashauri ya wilaya ya manyoni kazuia mzunguko wawatumishi kufanya zamu zao na kuhama idara wanazofanya kazi kwa muda mrefu ili kuboresha huduma hiyo hapa wilayani manyoni.Murugenzi huyo niwa ajabu sana kwani kila siku anaibuka kutembelea hospitali usiku sana na wodi anazotembelea niya wazazi na watoto.Cha kushangaza sana mfano wodi ya akina mama anaingia usiku hali ambayo akina mama wamepumzika na nyeti zao zipo wazi anawauliza kama wamepata huduma stahiki.Anachungulia nyeti zao na kuwapa matumaini atafuatilia matibabu yao.Kimsingi hatuna mabingwa kwa idara zote na kupangiwa rotation ni swala la hospitali na siyo la kiutawala wa halmashauri hii ni urimbukeni na kulewa madaraka ambayo haya wahusu kabisa.Hivyo basi wizara ya afya ifuatilie mapungufu haya kwani mkurugenzi huyu ni kilaza anahitaji msaada.