Nahisi Quality ya Picha Azam Tv Imekua bora Zaidi Leo

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,552
Kwa mnaotumia azam tv hebu jaribuni kuchunguza uonekano Wa picha azam tv..naona ni kama picha imezidi kua more clear,au n macho yangu tu?yawezekana ndio moja ya mabadiliko walokua wanatuonyesha countdown kwenye screen wiki yote hi?maana naona hata nembo"Azam Two" ina some animation
Wajuzi mtujuze zaidi.

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Yaani King'amuzi chao naona wame upgrade software fulani channels zote zimetulia zaidi kwenye resolution

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Upgrade yao sijaipenda maelezo waliyoyatoa tofauti na kinachotokea.
Walisema kwa upgrade hiyo hata ukisearch channel au umeme ukizima baada ya kuwaka king'amuzi kitakurudisha kwenye channel uliyokuwepo kitu ambacho siyo kweli kinakurudisha azam xtra
 
Kwa mnaotumia azam tv hebu jaribuni kuchunguza uonekano Wa picha azam tv..naona ni kama picha imezidi kua more clear,au n macho yangu tu?yawezekana ndio moja ya mabadiliko walokua wanatuonyesha countdown kwenye screen wiki yote hi?maana naona hata nembo"Azam Two" ina some animation
Wajuzi mtujuze zaidi.

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app

Tuliobobea kuangalia CNN, Fox News, I24, Sky News, BBC, Dw, Aljazeera, SABC, Ntv na Citizen kiukweli hatujakuelewa.
 
Abar zao hazina mvuto pia wanatangazaga habari za zamani
ukiangalia hawana mvuto jins usomaji wao unaeza kusinzia et
 
Yani saa nzima la habari habari zinaesabika yani usishangae zisizid 7
 
Azam TV waongeze ubora kwa kurusha mpira wa miguu live, maana camera zao zinatoa picha za wachezaji wakionekana kimo kiduchu mno hawaoni TV stesheni za France, Italy, Spain ukiwa sebuleni utadhani upo uwanjani front row. Pia kuna umihimu wa kuongeza cameraman crew pembezoni mwa uwanja walio na ujuzi pia wa kimataifa.

Wenzetu wanavyoangalia quality football ktk skrini zao za TV n.k majumbani mwao kupitia vituo vya televisheni vyenye ubora wa crew na utaalamu kiasi watazamaji wasiokuwa uwanjani wanafaidi hela yao waliyolipia kupitia decoders na tv licence

Tuliobobea kuangalia CNN, Fox News, I24, Sky News, BBC, Dw, Aljazeera, SABC, Ntv na Citizen kiukweli hatujakuelewa.
So kweli baba quality hii iko Bomba haina tofauti yeyote na hizo ulizotaja Ila tu vile tumezoea kudharau vyetu...Mimi pia nimetumia satellite tv miaka mingi nikiwa nje ya nchi naujua ubora na channels hizo unazosema hebu angalua tens tvyako ubora huu kama uko NATO Azam receiver

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom