Za mihangaiko Wanabodi. Nimewaza sana hivi mji wa Zanzibar una hadhi ya Jiji au ni Manispaa? Je kwa ukubwa wa Mji wa Zanzibar(Unguja Town Proper) unaweza kuufananisha na mji gani kwa huku bara?
Nmewahi kufika mara mbili tatu Zanzibar, kiuhalisia pako poa, lakini nasikia majina kama Wilaya ya Mjini Magharibi nk, lakini sizioni ziko wapi pale. Je pale Forodhani ni wilaya gani, Pale kwenye flat za Marehem Mzew Karume Michenzani ni Wilaya gani? Mji Mkongwe je?
Tujadili kwa kuelimishwa kwa mwenye ufahamu zaidi.
Kila la heri.