Hii ni vita kweli:Jeshi Drc vs M23

Nenda kakae frontline utaona moto wa AKs, granades, mortar artilleries, RPGs, nk.
Goma is a hell zone!!
M23 are tough rebels, peleka tako lako uone salamu za makombora zilivyo.
Wewe hiyo frontline ulishakaa.!?

Kikosi cha M23 baadhi ya vijana waliacha na wako kambi ya wakimbizi ya Uganda.
Kwa jinsi povu lilivyokutoka inaoneka kama wewe ni askari usie na cheo halafu hujafunzwa nidhamu ya kuongea vizuri ni rahisi sana mtu kukusoma saikolojia yako.
 
No thanks please!!
Hujui vita kaa kimya uzame chumvini na mademu zako, makomandoo wako Mstuni kuangamiza maadui!! Vita sio kubeti, salamu za vita ni shaba na moto.
 
Aiseee nikikumbuka tulivyovamiwa Beni mwaka jana na hawa waasi na bado unabeza vita ya congo basi tu.
 
Nenda kakae frontline utaona moto wa AKs, granades, mortar artilleries, RPGs, nk.
Goma is a hell zone!!
M23 are tough rebels, peleka tako lako uone salamu za makombora zilivyo.
Hakuna kitu vita gani wanatumia gobole na baruti.
 
Binti yangu mdogi, miaka 6 wakianza kuonyesha vita ya Congo kwenye taarifa ya habari anaanza kucheka, Mara ya kwanza nilidhani ni kwasababu ya kiswahili cha Congo ila sasa nahisi anadhani ni "mizengwe"
Na ni mizengwe kweli
 
Huko ndiko askari wetu wanapenda kwenda,ukiwaambia kuhusu kwenda Somalia ambako ikifanyika ambush ni ambush kweli,wanajifanya kutoa ushauri kua tutaleta shida ya Al-shabaab nchini mwetu.Ni ukweli usiopingika kua vita iko Syria sio DRC kwa Wamaimai huko na Sudan kusini.
 
Mwaka mmoja ulopita alikamatwa mmoja ya hao rebels na wanajeshi wa TZ huko congo,wakati anahojiwa akasema haya "nyinyi mnajisumbua bure kupambana nasisi, wazungu wanakuja na helicopter deile kutuletea silaha na supply nyenginezo,hawataki hii vita iishe".
 
Binti yangu mdogi, miaka 6 wakianza kuonyesha vita ya Congo kwenye taarifa ya habari anaanza kucheka, Mara ya kwanza nilidhani ni kwasababu ya kiswahili cha Congo ila sasa nahisi anadhani ni "mizengwe"
Ile ni michezo ya kuigiza kama mingine. Alafu wanajeshi wa Congo mbona wamekonda kama mateja wa Dar. Wakati wanajeshi wa huku ni vitambi
 
No thanks please!!
Hujui vita kaa kimya uzame chumvini na mademu zako, makomandoo wako Mstuni kuangamiza maadui!! Vita sio kubeti, salamu za vita ni shaba na moto.
Makomandoo wa bongo bwana mikwara miiiingi kumbe njaa tu, mkichalenjiwa mnatoa povu kama mmebugia omo, maadui sasa mnaowaangamiza mbona hao M23 hawaishi?

Njooni basi huku Syria muoneshe umwamba wenu, sio kila mwaka kuzionea tofali za mchanga na nondo feki wakati hata hazijui vita!
Nenda kakae frontline utaona moto wa AKs, granades, mortar artilleries, RPGs, nk.
Goma is a hell zone!!
M23 are tough rebels, peleka tako lako uone salamu za makombora zilivyo.
 
Back
Top Bottom