mchakavumlasana
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 389
- 212
Habari.
Kwa muda sasa kuna kukatwa katwa umeme kusikokuwa na taarifa.
Je huu ni mgao?
Kama ni mgao kwa nini wateja tusipewe taarifa rasmi na ratiba????