Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Kuna ripota anaripoti taarifa za ITV kenya sauti yake ni mbaya mno.Hata habari ikiwa nzuri,Jamaa kasauti kake anavyokavuta inakuwa mbaya mpaka kinywaji na chakula kinagoma kushuka.Maratu naye alikuwa anaivuta sauti hivyo hivyo kama tepu imejisokota.Naona kajirekebisha kidogo.Na huyu mkenya arekebiashwe swag zake zinaharibu habari.