py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,447
Jana wakati Mh.Rais anahutubia mkoani mtwara nikaamua kutafuta station inayoonyesha hotuba hiyo na siku zote TBC wakiwa live basi station zingine zinakuwa live na TBC wasipokuwa live basi station zingine pia hawaonyeshi hivyo reference ni TBC.
Nikaamua kuwasha TBC nione kama hotuba inaonyeshwa na bahati nzuri hotuba ya Rais ilikuwa inaonyeshwa lakini cha ajabu nilichokiona ni station hii ya taifa ilikuwa inatoa sauti mbovu yenye mikwaruzo mikwaruzo yaani inabidi utegee sikio vizuri ili usikie vizuri hotuba huku mwonekano wa picha ukiwa mbaya na wa kufifia.Mwonekano wa picha sikuuzingatia sana licha ya kuwa mbaya lakini kilichonisikitisha ni sauti,sauti ina mikwaruzo inasikika kwa mbali ,hovyo kabisa
Hapo hapo nika tune Azam extra yani picha ya mh Rais unaipata vizuri na sauti safi haina mikwaruzo na hotuba nikaisikiliza bila bughudha
* Hivi hawa TBC hawaoni aibu kweli
*Hivi mkurugenzi wa Station hii anafanya kazi gani haswa
* Hivi TBC wanapewa ruzuku kiasi gani mpaka washindwe kuboresha matangazo yao na kazi zao
TBC badilikeni ase mpo hovyo sana