Hizo picha alizoziweka ni Morogoro road labda kama una makengeza.Ivi ngerengere ndo unapitia bagamoyo road
Kulikuwa na msafara dizaini iyo mida ya mchana bagamoyo road huenda huo ni msafara mwingine!Hizo picha alizoziweka ni Morogoro road labda kama una makengeza.
wapi hiyo!??Tunapigiwa kelele kila siku tufanye kazi na Bwana mkubwa lakini hili la kutuweka barabarani masaa 3 halikubaliki .Please tafuta njia mbadala ya kukufikisha uendako ulichotufanyia Leo wakati unaenda ngerengere si ustaarabu kabisa.ni hayo tu
View attachment 477409 View attachment 477410
Kwani nani amezungumzia ngerenyere?Ivi ngerengere ndo unapitia bagamoyo road
Dodoma hawana nyumba za kuishi wamevamia tu instution za watu, kama hostel za vyuo kugeuzwa ofisi, makazi ya lectures kuchukuliwa, maskini waliokuwa wanakaa quoter za maghorofani kutimuliwa kama mbwa, watu kunyanganywa viwanja kisa kupisha makazi mapya..... etcNasema hivi, wahamie DODOMA tu. Leo nimekaa kwenye foleni Mwenge, lisaa na nusu
Nasema hivi, wahamie DODOMA tu. Leo nimekaa kwenye foleni Mwenge, lisaa na nusu
Inakela sana hii ilishawahi kunitokea Manyoni tuligsndishwa kisa eti waziri mkuu anatoka Singida anarudi Dodoma, hili linchi la hovyo kabisa.
Ni gharama mkuu.Kwa nini hawatumii helikopta na ndege?