Je, hawa G.H.M limited ni matapeli?

shelumwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
516
189
fc680c72a7997f1c8bd6ac6721c282d5.jpg

WAKUU tusaidiane mwenye kuwa na maelezo ya hii kampumu inayojiita G.H.M limited Mwanza maana naona kama wanataka tsh 5000 za watu ambapo kwa uelewa yangu mdogo sielewi kwa nini mtu atoe hiyo pesa kwa ajili ya hiyo form maana kama unataka kutoa kazi siunatoa tu

Msaada tutani
 
Msaada tutati
Ngoja wanakuja, utasaidiwa
 
fc680c72a7997f1c8bd6ac6721c282d5.jpg

WAKUU tusaidiane mwenye kuwa na maelezo ya hii kampumu inayojiita G.H.M limited Mwanza maana naona kama wanataka tsh 5000 za watu ambapo kwa uelewa yangu mdogo sielewi kwa nini mtu atoe hiyo pesa kwa ajili ya hiyo form maana kama unataka kutoa kazi siunatoa tu

Msaada tutani
hapo utaliwa mkuuu hakun kitu hapo zaidi ya kutembeza vyombo vyao wanapamba tangazo tu.
 
Ni vyema kupeleka tangazo la namna hiyo polisi kwa hatua zaidi
 
fc680c72a7997f1c8bd6ac6721c282d5.jpg

WAKUU tusaidiane mwenye kuwa na maelezo ya hii kampumu inayojiita G.H.M limited Mwanza maana naona kama wanataka tsh 5000 za watu ambapo kwa uelewa yangu mdogo sielewi kwa nini mtu atoe hiyo pesa kwa ajili ya hiyo form maana kama unataka kutoa kazi siunatoa tu

Msaada tutani

MATAPELI SIYO RAHISI KUPATA KAZI KWA NAMNA YA KUNUNUA FOMU...?
 
shelumwa Unataka Kazi? Kama Huna Shida Na Kazi Waache Wenye Shida Wachukue Form.

Shs. 5000 Unaona Nyingi Kwa (Shs 285000 X Miezi 12 X Miaka 35 )= ..................
 
WAKUU tusaidiane mwenye kuwa na maelezo ya hii kampumu inayojiita G.H.M limited Mwanza maana naona kama wanataka tsh 5000 za watu ambapo kwa uelewa yangu mdogo sielewi kwa nini mtu atoe hiyo pesa kwa ajili ya hiyo form maana kama unataka kutoa kazi siunatoa tu

Msaada tutani
Kimbia ufe! Huu ni utapeli kabisa na wala huhitaji hata elimu kujua ni ni utapeli. Wao nia yao ni kukusanya hizo elfu tano tano. Wanajua kuna watu wengi wamezagaa bila ajira na wanatumia hii nafasi kutapeli. Hebu fikiria wakijitokeza wachukua fomu 10,000 na wakatoa 5000 kila mmoja watapata ngapi? Watapata: milioni 50. Na hizi zinaingia kwa ulaini bila hata kufanya kazi. Narudia tena kimbia ufe! Au kama unafikiri hiyo elfu 5 ni ndogo basi wape uone...
 
shelumwa Unataka Kazi? Kama Huna Shida Na Kazi Waache Wenye Shida Wachukue Form.

Shs. 5000 Unaona Nyingi Kwa (Shs 285000 X Miezi 12 X Miaka 35 )= ..................
Wewe ni mmoja wa hawa matapeli kwa asilimia zote! Uko hapa kupigia debe utapeli wenu. Ati elfu 5 sio nyingi kumpa tapeli? Wanabodi angalia sana hapa mtaliwa! Hakuna sehemu ya kweli wanayojiari halafu wanakuambia eti uwalipe fedha ''waajiri'' wako kabla hata hujaajiriwa! Hawa wanakusanya elfu tano tano kwa kila mhanga! Wakipata watu elfu kumi wana elfu hamsini za ulainiiiiii!
 
Nenda mpaka ofisini kwao
Mkuu hawa ni matapeli hata hiyo ofisi hawana! Halafu tangazo limeandikwa kijanja ili kuvutia watu wengi kadiri inavyowezekana
1. Wametoa wigo mkubwa wa elimu... kuanzia darasa la saba hadi chuo kikuu.
2. Wameweka kivutio cha kampuni kukupa eti nyumba kama unatoka mbali
3. Wamechagua ''miji ya kufanya kazi'' iwe ile miji wanayoweza kupata watu wengi kadiri iwezekanavyo. Miji ya Dar, Arusha, Mwanza, Mbeya na Dodoma.
4. Tangazo haliko specific ila liko kijumla jumla ili kuwapata watu wengi kadiri iwezekanavyo.
 
Matangazo ya kazi yanayobandikwa kwenye nguzo za umeme na vituo vya daladala ni hatari kwa afya ya mwombaji kazi.
 
Back
Top Bottom