Utafiti wa BBC

ng'ombo

JF-Expert Member
Dec 1, 2014
418
619
Muda mchache ujao wanawake watakua wakiwalipa wanaume ili wanyonywe matiti.
Kutokana na report ya mtandao wa BBC madaktari wanasema wanawake wanapunguza uwezekano wa kupata kansa ya matiti kwa kunyonywa sana matiti yao na kwa nguvu.
Kunyonywa Matiti kunapunguza hatari ambayo hutengeneza uvimbe ambao husababisha kansa ya matiti.
Matiti yanatakiwa yanyonywe mara kwa mara kwa kadri iwezekanvyo. Wasaidie wanawake zenu kupambana na kansa ya matiti.
Kwa sisi wanaume tufanye kazi yetu tunyonye matiti sasa, na wanawake kuweni wepesi kuachia kunyonywa.
Hii ni meseji toka wizara ya afya kusaidia mapambano dhidi ya kansa ya matiti.


http://www.theinsider.ug/breast-sucking-can-reduce-risk-of-cancer-survey/#.WA0Sje_TU0M

Screenshot_2017-03-07-22-21-32-1-1.png
 
Swali langu ni hili;Ikiwa mwanaume atanyonya titi la Mwanamke ambae anamaambikizi ya cancer ya Matiti je? kunauwezekano wa Mwanaume huyo kuambukizwa Cancer?
 
Back
Top Bottom