Waarabu asili yao ni wabantu,Kabila linalopotea

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
13,149
6,989
Inasemekana waarabu walikuwa weusi sio weupe,ni baada ya kuchanganyikana na makabila ya mashariki ya mbali ya Armenia na Russia ndio wakaanza kubadilika katika kuoana na watu weupe hawa.Hawa tunaowaona sasa sio warabu wa asili,hao weusi walikuwa wakisema,asiye mweusi sio muarabu.Na kuwahesabu wanaozaliwa wekundu,ndio machotara.
Na mwanzo wakati wakianza kubadilika kuwa na rangi za wazungu,waliobaki na asili yao,wakijisifia weusi wao.Na mchanganyiko huo ulikuja baada ya kuletwa watumwa wekundu kutoka nchi za Armenia na nchi nchi nyingine za ulaya ya mashariki na na pia kwa kuingia kwa wageni wekundu kutoka Persia(Uajemi).
Inavyosenekana kiko kisiwa mpaka leo kinachoitwa Skotra chenye wabantu wanazungumza lugha ya kiarabu ambayo inahesabika ni kiarabu cha kisasa(yaani Afroasiatic).www.africaresource.com[URL="http://www.savethearabs.com"]www.savethearabs.comwww.Africa resource.com>rasta>afro-ar...[/URL]
 
Back
Top Bottom