Damu ya mtu nisiyemjua imemponya ndugu yangu

Liwagu

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
5,498
6,631
Wakuu, nimejifunza kitu baada ya kumpeleka nduguyangu hospital na akagundulika kuwa damu yake imepungua sana na akaongezewa damu, na amepata nafuu na kuruhusiwa.

Nimepata somo mubashara kabisa. Sasa nitakuwa na changia damu kadiri nitakavyoweza.
Nashauri wana jf nawengine ambao hatukuwa na utamaduni wa kuchangia damu tubadilike, tukatoe damuzetu ili tuokoe maisha ya watu tunaowajua na tusio wajua.

My take.
Huwezijua huenda sikumoja damu uliyochangia inaweza kuokoa uhai wako ama uhai wa mtu katika familia yako. Mtoto, mke, baba mama ndugu.........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom