TANZIA: Familia ya Julius Mtatiro yapata misiba miwili kwa mpigo

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,377
8,075
TANZIA; TUMEPOTEZA WAJOMBA WAWILI KWA MPIGO.

Ndugu zangu, tumepata misiba miwili mizito huko Musoma, Mara. Mjomba wangu mkubwa (kaka ya mama yangu mzazi aitwaye Mzee Sylivester Korogwe) amefariki akiwa Mwanza na leo Jumatano mwili unasafirishwa kutoka Mwanza kwenda Kiabakari, Musoma - Mara kwa ajili ya mazishi.

Taarifa za hivi punde (leo Jumatano asubuhi hii) pia ni kuwa, Mjomba wetu mdogo (mdogo wa kiume wa mama yangu mzazi aitwaye Andrew Cyprian Mumwi, Sameja mstaafu wa JWTZ, chuo cha kijeshi cha TMA Arusha) ambaye jana alishinda nyumbani kwa marehemu kaka yake akiandaa msiba, naye amefariki ghafla leo alfajiri akiwa nyumbani kwake Kiabakari.

Kwa hiyo tumewapoteza wajomba wawili muhimu kwa mpigo na bibi yetu hana kijana hata mmoja aliye hai hivi sasa. Tunamshukuru Mungu kwa yote na tunawaomba kifikra mshiriki nasi kuwaombea marehemu wote wawili, kuziombea familia zote na kumuombea bibi yetu (zaidi ya miaka 110) na watoto wake wawili waliobakia wawe mvumilivu sana wakati huu

TUKUMBUKE: Hata "Ayubu" alivuka mapigo makubwa kabisa, sisi ni nani?

[HASHTAG]#Mtatiro[/HASHTAG] J,
22 Feb 2017.
 
mbona ubin za hawa wajomba ni tofauti?
 
Pole nyingi kwa Bw. J. Mtatiro na wanafamilia wote waliofikwa na misiba hiyo.
 
Pole kwa familia nzima
 
Back
Top Bottom