Chibudee
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,775
- 2,400
[HASHTAG]#happy[/HASHTAG] [HASHTAG]#womenday[/HASHTAG] Wanawake Ni pepo zetu sisi wanaume wametulea Wametuweka miezi 9
Tumboni mwao wamepitia changamoto mbali mbali kipigo masimango manyanyaso lakini walikuwa bega kwa bega nasi
Mungu awalinde nakuwapa afya wanawake woote duniani Nyinyi ni [HASHTAG]#malkiawanguvu[/HASHTAG] source @maalimseifshariff instgram