Je, huko alikokimbilia atakuwa salama?

Je, huko alikokimbilia atakuwa salama?

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,025
Reaction score
14,962
Na kama hivyo ndivyo,itakuwa ni kwa gharama za nani?...na hata kama akimgharamia ni kwa kipindi gani?

Manake kwa upeo wangu mdogo wa masuala ya usalama hawa jamaa wana visasi hata baada ya miaka 20.

La cosa nostra.Revenge of the criminals.
mexico-drug-lord-480.jpg
 
Watu bwana......kaenda au kakimbia...na ni nani huyo
 
Na kama hivyo ndivyo,itakuwa ni kwa gharama za nani?...na hata kama akimgharamia ni kwa kipindi gani?
Manake kwa upeo wangu mdogo wa masuala ya usalama hawa jamaa wana visasi hata baada ya miaka 20.
La cosa nostra.Revenge of the criminal.

mexico-drug-lord-480.jpg
Unavuta bangi
 
Mimi nilijua Bashite nimefungua Uzi kwa Kasi ya 4G, nimechoka
 
'..kondakta' amtimua Daudi Bashite kwenye jiji lake ...kama alivyoahidi
 
Kwanini magu kampa kibali cha kwenda SA, kuna nini huko?
 
Na kama hivyo ndivyo,itakuwa ni kwa gharama za nani?...na hata kama akimgharamia ni kwa kipindi gani?

Manake kwa upeo wangu mdogo wa masuala ya usalama hawa jamaa wana visasi hata baada ya miaka 20.

La cosa nostra.Revenge of the criminals.
mexico-drug-lord-480.jpg
Jiongeze kwenye kutafuta peaa punguza majungu
 
Back
Top Bottom