Kamatakamata za viongozi wa CHADEMA zaamia jumbo LA momba

G-HASAL

Member
Feb 22, 2017
46
6
Ni Vicenti l Siame Mh diwani wa kata ya chitete ambaye alikamatwa Jana na police lakini baadae akaachiwa kwa dhamana
Na mpaka sasa haijajulikana alikamatwa kwa kutenda kosa gani
Ila kwa taarifa ya m/kiti wa kijiji anasema police walienda nyumbani kwake usiku wa manane (saa 8:00) wakadai wapelekwe kwa My diwani ili kuonana nae ndipo m/kiti huyo aliwapeleka kwa Mh diwani ndipo walipo mkamata my huyo
 
Back
Top Bottom