Naitaji Mkopo Dhamana naweka shamba

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,993
7,148
wakuu mambo vipi
Naitaji mkopo wa milion tano na dhamana naweka shamba langu liko mkuranga mjini
kwa yoyote alieko tayari anipm
 
nakushauri uza tu hilo shamba.. maana riba za mkopo huo zinaweza zikawa asilimia 200
 
nakushauri uza tu hilo shamba.. maana riba za mkopo huo zinaweza zikawa asilimia 200

nikimpata wa kununua pia ni sawa ila dah nalipenda sana shamba langu sikupenda kuliuza kabisa
 
Back
Top Bottom