ntugwa12
Member
- Aug 7, 2016
- 85
- 34
Ni wazi kuwa moja ya jukumu la expatiate nchi yoyote ile duniani ni kufundisha ujuzi unaohitajika kwa wazawa wa nchi husika, nimefanya uchunguzi ktk migodi mingi nchini kuna expatriates wanakuja kufanya kazi ambazo hata wazawa wanaziweza!
Mfano migodi ya buzwagi,bulyag'hulu na nyamongo inayomilikiwa na kampuni ya uchimbaji dhahabu ya acacia hususan kitengo cha ulinzi wanaleta watu ambao hata hawana ujuzi wowote, Bali imekuwa kama n njia ya kupatiana ajira kiholela huku watz wengi wakiweza kuzifanya kazi hizo!
Je, mamlaka husika hazioni? Yaani unakuta mtu katoka ulaya kuja kufanya upekuzi kwenye mageti kwa zaidi ya mwaka, ukiuliza eti amekuja kutoa ujuzi, je, hii inaleta mantik yoyote?
Kwa yeyote anayejua zaidi majukum na wajibu expatriate, anijuze!