mtafiti05
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 956
- 593
Tanzania bwana yataka watu wote tuwe sawa, imekaaje mtumishi mwenye mali/utajiri Mkubwa achunguzwe? Je kumbe watumishi tunatakiwa kuwa namaisha ya kati au chini? Au wote wenye utajiri n ni wauza dawa za kulevya? Matamko na maelekezo kama haya mpaka lini? Mshahara hujaongezwa, makato yameongezeka bado tena tuchunguzwe wenye Mali au utajiri lengo ni nn? Tz ya ajabu sana awamu hii, lengo tuishi kama mashetani au?
Chanzo taarfa habar ITV
Chanzo taarfa habar ITV