Kwanini wana CHADEMA wengi hawaungi mkono vita dhidi ya madawa ya kulevya?

Mugabe one

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
2,327
1,683
Habari za leo wana JF,

Niende moja kwa moja kwenye hoja hii yenye kuhitaji majibu sahihi. Nimekuwa nikiwaza sana kwamba tangu vita dhidi ya madawa ya kulevya iliyoanzishwa na RC Makonda ambayo imeamsha moto hata katika nchi JIRANI, lakini wanachadema wako KINYUME KABISA(They are against to ).
Hali hiyo inaniachia maswali mengi sana, mfano:
∆ Sijui wao ni watumiaji?
∆ Sijui wao ni wauzaji?
∆ Sijui viongozi wao wanahusika kwenye kusambaza au kuuza au kusafirisha?
∆ Sijui wafadhili wao ni wauza madawa?

KWANINI CHADEMA KISIMAME KINYUME NA HII VITA DHIDI YA MIHADARATI?
 
Habari za Leo wana JF!

Hali hiyo inaniachia maswali mengi sana,mfano:

Ni kwa sababu imeendeshwa kisiasa ,full,stop.
 
Acha mawazo ya kibashite mkuu. Wanaunga mkono wanachopinga ni approach iliyotumiwa na Daud A. Bashite. Wanachopinga ni kuendeshwa kisiasa zaidi na ndugu Bashite.
Umesikia MTU yeyote kampinga kamishina Rodgers Siang'a?
Vita ya madawa ya kulevya IPO inaendelea kupiganwa na kamishina wake kwa taratibu zinazopaswa
 
wanachadema wanaunga mkono vita dhidi ya dawa za kulevya pia tunamuunga mkono Kamishna Siang'a hususani approach ya kitaalamu anayoitumia na kupelekea kuwakamata wahalifu wengi bila kuwakurupusha.

Bashite unajaribu kujificha nyuma ya dawa za kulevya na cheti chako cha kugushi.
 
Habari za Leo wana JF!
Niende moja kwa moja kwenye hoja hii yenye kuhitaji majibu sahihi. Nimekuwa nikiwaza sana kwamba tangu vita dhidi ya madawa ya kulevya iliyoanzishwa na RC Makonda ambayo imeamsha moto hata katika nchi JIRANI, lakini wanachadema wako KINYUME KABISA(They are against to ).
Hali hiyo inaniachia maswali mengi sana,mfano:
∆ Sijui wao ni watumiaji?
∆ Sijui wao ni wauzaji?
∆ Sijui viongozi wao wanahusika kwenye kusambaza au kuuza au kusafirisha?
∆ Sijui wafadhili wao ni wauza madawa?
KWANINI CHADEMA KISIMAME KINYUME NA HII VITA DHIDI YA MIHADARATI?
Mkuu we umeona hii vita ilivyoendeshwa? Siasa tupu na chuki..
 
Habari za Leo wana JF!
Niende moja kwa moja kwenye hoja hii yenye kuhitaji majibu sahihi. Nimekuwa nikiwaza sana kwamba tangu vita dhidi ya madawa ya kulevya iliyoanzishwa na RC Makonda ambayo imeamsha moto hata katika nchi JIRANI, lakini wanachadema wako KINYUME KABISA(They are against to ).
Hali hiyo inaniachia maswali mengi sana,mfano:
∆ Sijui wao ni watumiaji?
∆ Sijui wao ni wauzaji?
∆ Sijui viongozi wao wanahusika kwenye kusambaza au kuuza au kusafirisha?
∆ Sijui wafadhili wao ni wauza madawa?
KWANINI CHADEMA KISIMAME KINYUME NA HII VITA DHIDI YA MIHADARATI?
Mungu ana njia nyingi za kuonesha unafiki sasa imejulikana wazi kuwa kyadema ni chama cha wauza unga na ndio maana watu waliomakini waliojunga na chama hicho baadae wameshituka wanakaa mbali na viongozi kama hawapo vile chama cha wauza dope. Kuna wimbo wa msanii mmoja mheshimiwa wa mbeya anasifia ngada halafu ndio mshauri mkuu wa mkuu wa chama pinzani
 
Sijui wao ni watumiaji?
∆ Sijui wao ni wauzaji?
∆ Sijui viongozi wao wanahusika kwenye kusambaza au kuuza au kusafirisha?
∆ Sijui wafadhili wao ni wauza madawa
?
KWANINI CHADEMA KISIMAME KINYUME NA HII VITA DHIDI YA MIHADARATI?
Katika utawala huu wenye chuki za hali ya juu kwa upinzani,sidhani kama wangekuwepo mitaani hadi sasa kama wangejihusisha na hata kimoja hapo!

Kama mtu anatafutwa kwa vimaneno tu,itakuwaje ikibainika anashiriki hiyo biashara?
 
Mungu ana njia nyingi za kuonesha unafiki sasa imejulikana wazi kuwa kyadema ni chama cha wauza unga na ndio maana watu waliomakini waliojunga na chama hicho baadae wameshituka wanakaa mbali na viongozi kama hawapo vile chama cha wauza dope. Kuna wimbo wa msanii mmoja mheshimiwa wa mbeya anasifia ngada halafu ndio mshauri mkuu wa mkuu wa chama pinzani

Yes kabisa ndiyomaana wanamuunga mkono muuza unga maarufu Kinje, GSM, Idd Azan, Juma Pinto na Rizone.
 
We unataka wote tuje kwenye media tuseme tunaunga mkono sisi harakati zetu tunafanya huku mtaani na tumeshasaidia vijana wengi kwenda sober sasa sijui wewe muandika post zako unafanyia wapi au nyuma ya keyboard.
 
Acha kusingizia Chadema hao walotajwa nani kakutwa ni muuzaji? Huoni Bashite alitumika kisiasa zaidi? Lengo lake c madawa ya kulevya bali ni kuwadhalilisha watu ambao ana chuki nao.
 
Mungu ana njia nyingi za kuonesha unafiki sasa imejulikana wazi kuwa kyadema ni chama cha wauza unga na ndio maana watu waliomakini waliojunga na chama hicho baadae wameshituka wanakaa mbali na viongozi kama hawapo vile chama cha wauza dope. Kuna wimbo wa msanii mmoja mheshimiwa wa mbeya anasifia ngada halafu ndio mshauri mkuu wa mkuu wa chama pinzani
Nadhani kuna ukweli kabisa kupitia hoja yako
 
Mm naona CDM/UKAW kazi yao ni kupinga kila kitu kinacho fanywa na CCM hatakama wanajua ni kizur wanafanya kibay kwa kua wao ni wapigaj/wapinzan
 
Habari za leo wana JF,

Niende moja kwa moja kwenye hoja hii yenye kuhitaji majibu sahihi. Nimekuwa nikiwaza sana kwamba tangu vita dhidi ya madawa ya kulevya iliyoanzishwa na RC Makonda ambayo imeamsha moto hata katika nchi JIRANI, lakini wanachadema wako KINYUME KABISA(They are against to ).
Hali hiyo inaniachia maswali mengi sana, mfano:
∆ Sijui wao ni watumiaji?
∆ Sijui wao ni wauzaji?
∆ Sijui viongozi wao wanahusika kwenye kusambaza au kuuza au kusafirisha?
∆ Sijui wafadhili wao ni wauza madawa?

KWANINI CHADEMA KISIMAME KINYUME NA HII VITA DHIDI YA MIHADARATI?
kwa sababu hakuna vita hapo. ni siasa tu
 
Mkuu tumia akili yako kufikiri!Kama viongozi na wafuasi wa chadema wanakamatwa kwa makosa ya ajabu ajabu kama kuusema utawala huu, je wangekuwa watumiaji au wauzaji si ndio kabisa serikali na Ccm wangepata kisingizio cha kuwasema vibaya majukwaani na kuwafunga kabisa?
 
Back
Top Bottom