Kamanda Sirro amuonya Askofu Mokiwa aache kufanya vurugu makanisani

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,035
164,307
Amemuonya akiendelea watamshughulikia kwani ibadani si pahala pa vurugu.Ameshauriwa aendapo ibadani kusali asiongozane na makundi ya watu wenye nia ya kuleta vurugu vinginevyo atakutana na mkono wa dola.Chanzo Wapo radio
 
Acha upuuzi vyeti halisi vya taaluma ni muhimu
Sio muhimu ni lazima,ni offence kutumia cheti cha MTU!but issue hapa ni confidence uliyonayo na hayo mavyeti kibao tuliyonayo? So mtetei but mliosoma sana Hamna kitu,ni waoga,mliishia kukaririshwa tu,tunalilia tu!hata mbowe hana vyeti vingi but ni kiongozi mifano IPO mingi na wanaweza!
 
Amemuonya akiendelea watamshughulikia kwani ibadani si pahala pa vurugu.Ameshauriwa aendapo ibadani kusali asiongozane na makundi ya watu wenye nia ya kuleta vurugu vinginevyo atakutana na mkono wa dola.Chanzo Wapo radio
Kweni siro ni nani kwa mambo ya MUNGU ikiwa yeye ni wa kaisari kwann yeye kuwa askofu?amekuwa sehem ya maonevu kwa ss au yy ni wa nani?alishasikiliza pande zinazovutana? Na kuna mahakama iliyozuia askofu nikiwa asihudum?nini katiba yao inasema juu ya maamuzi ya huyo mkuu wao hata kumuondoa mokiwa?siro jitenge na mambo hayo ww c mahakama.
 
Nadhani kabla ya kumkosoa Siro ni vema na ww ungejitathimini kabla ya kuchangia-mm ninavojua ni kwamba polisi ndo wanaotuliza gasia zote na si mahakama- ss ww unadhani mahakama ndo polisi-Siro kaongea hivo kwa maana ya usalama wa raia wasio na mgogoro.
 
Umenena vema
 
Unaifaham katiba ya kanisa hilo au una lopoka aliyepashwa kuzuiliwa asiingilie hayo mambo ni huyo alieleta mtafaruku huo na ndo maana ya kuombwa atoe kesi mahakamani alichotakiwa si kusema atamshugulikia ni kutoa ushauri na all kuskia as anataka atembee peke yake ili iweje ss
 
Si kazi ya Siro kujua hiyo katiba ya kanisa, kazi ya Siro ni kuzuia vurugu makanisani-na kama wameshindwa kuelewana, basi ni swala la polisi kuzua vurugu zisitokee.
 
Ashughulikiwe hakuna namna
 
Si kazi ya Siro kujua hiyo katiba ya kanisa, kazi ya Siro ni kuzuia vurugu makanisani-na kama wameshindwa kuelewana, basi ni swala la polisi kuzua vurugu zisitokee.
Hizo vurugu unazodai kwa makundi anayoambatana nayo ulishazishudia anasema viashiria unavipimaje hivyo viashiria? Au ndo interejensia kama kawaida.
 
WaTZ kuna kitu hakipo sawa kwenye akili zetu. Hv mtu akili yake ipo sawa kbs anapokinzana nna hili kuhusu usalama wa raia? Duuuu we hv a long way to go
 
Sio muhimu ni lazima,ni offence kutumia cheti cha MTU!but issue hapa ni confidence uliyonayo na hayo mavyeti kibao tuliyonayo? So mtetei but mliosoma sana Hamna kitu,ni waoga,mliishia kukaririshwa tu,tunalilia tu!hata mbowe hana vyeti vingi but ni kiongozi mifano IPO mingi na wanaweza!
Davis Mosha, Saidi Lugumi.,,,,
 
:)
WaTZ kuna kitu hakipo sawa kwenye akili zetu. Hv mtu akili yake ipo sawa kbs anapokinzana nna hili kuhusu usalama wa raia? Duuuu we hv a long way to go
Sio watanzania ni watz wa Jf Hahahaha....msinitukane nawaomba
 
Namheshimu sana Mzee Mokiwa, asikubali shetani amtumie, kama kweli nafsi yake haina shida basi akae kando na MUNGU atamlipia.
 
Back
Top Bottom