maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,345
- 15,854
Hii kitu sasa imeanza kuwa inaboa maana kwa miezi kadhaa sasa ujumbe ni ule ule tu kila ukiangalia tv,utadhani hakuna uozo mwingine kwenye jamii inayopaswa kumulikwa. Sasa sijui Masoud Kipanya anayechora hizi katuni kaishiwa ama niaje...kama mmeishiwa acheni basi wandugu..