Konyagi wakaidi agizo la Serikali, waendelea kuzalisha 'Viroba'

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Habari wanaJF,

Waziri Makamba na timu ya TRA, Polisi,TFDA na NEMC wavamia kiwanda cha konyagi na kukuta viroba vilivyopigwa marufuku vikitengenezwa.

Screenshot from 2017-03-01 15-01-44.png


Baadhi ya mameneja wa Bar za jijini Dar waomba serikali kuongeza muda usitishaji wa Viroba ili wauze walivyo navyo​
 
Hivi hata wakataze vitauzwa tu mana siku zote kinachopigwa marufuku ndo kinapendwa na watu kukiacha si jambo la haraka ni la muda
 
Makamba nae aache mambo ya ajabu kwani situtajirekebisha na kuacha kutupatupa hovyo vikaratasi vya viroba aaaagh!mxuuuuu!.Anakomaliiia!utafikiri sijui nini!:eek::eek::eek::eek::eek::eek::eek:!

Alah nilidhani ni waziri wa viwanda na biashara kumbe ni Hon. January Makamba wa Muungano na Mazingira!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Watu hawana hela za beer jaman ukipga viroba vyako viwili uko vzur tayar sasa beer mpaka unywe ngap cjui
 
Back
Top Bottom