Gwajima: Wanasema ninyamaze imetosha, mbona nlipokuwa nashambuliwa hamjasema inatosha?

kitumbotala

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
516
623
Wakuu habari za shughuli na poleni sana kwa mihangaiko ya hapa na pale,tumeshuhudia mtuwakiibuka na kusema yy ni ndugu ya Bishop gwajima, na hivyo kuzungumza mengi juu ya mfano wa utetezi wa yule jamaa,kuhusiana na sakata hili lililopo jikoni.Leo nimetembelea account za Askofu Gwajima sikukuta kitu chochote cha maelezo ila ame tuma video yenye ujumbe kwa huyu bwana aliyejinasibu kwenye vyombo vya habari.....
Askofu gwajima amesema mbona hawakumzuia wwakati yeye anataja na kumsema kwa vijembe,lakini yy ameanza kusema ndio wanaibuka.



******Nawaza kitakacho tokea kwa huyu jamaa sipati jibu************

Source: you tube
 

Attachments

  • VID-20170309-WA0105.mp4
    14.5 MB · Views: 60
Hahahaha.. Haya mambo ya kulipwa ili umseme mtu kwenye media yatakuja kuwatojea watu puani. Sasa wanazidi kumuumiza yule bwana mdogo
 
Hawajui ndio wanazidi kumuumiza huyo bashite
tapatalk_1488873578481.jpeg
 
Back
Top Bottom