Uchafu ni asili ya mtu wala sio kabila

Shida na raha

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
3,773
3,471
Mda huu nimetoka kwenye choo cha kulipia ghafla kuna mtu ambae wakati huo huo ametoka nikaingia mimi lakini nilichokiona............hata kipofu angemfata akafanye marekebisho.

Cha kufurahisha maji yalikuemo yakutosha, ikanibidi nikubali matokeo, yule mtu sijui hata kabila gani.
 
Back
Top Bottom