Qunax
Senior Member
- Oct 16, 2016
- 100
- 127
Kuna kijana ambae alimpiga bastola papa wa kule Roma lakini baadae yule kijana aliomba msamaha na papa akamsamehe japo bado jamaa kafungwa.
Kuna jamaa alimpiga kofi mwinyi (Raisi wa 2) kipindi kile lakini kwa kuwa ilikuwa ni maswala ya kiimani kijana aliomba msamaha na mwinyi akamsamehe.
Ila kuna kijana alimpigaga WARIOBA (Waziri mkuu mstaafu) sijui kama mzee aliombwa msamaha kama hakuombwa na bado ana kinyongo laana yake lazima itamtafuna mtu.