Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Walokole waliokuwa katika coaster mbili wakienda kutoa mapepo maeneo ya Kiloleli mjini Mwanza walizua taharuki baada ya kuanza kumwomea trafiki kwa madai ana mapepo baada ya trafiki kulisimamisha...
6 Reactions
29 Replies
4K Views
Serikali ya Wilaya ya Same imepiga marufuku biashara ya mahindi ya kuchoma ikiwa ni jitihada za kukabiliana na tatizo la njaa linalokumba maeneo mbalimbali ya nchi. Agizo Hilo lilitolewa wiki...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
1. Kwanini sheria nyingi zinaandikwa kingereza tofauti na zinapopitishwa kwa kiswahili bungeni. 2. Kwanini mikataba mingi inaandikwa kingereza ilhali lugha ya taifa ni kiswahili. 3. Kwanini...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ikiwa ndugu yako au rafiki yako ambaye mna mahusiano ya karibu ana shida ya kifedha na wewe una uwezo wa kumpa fedha, usimkopeshe fedha, bali mpe msaada wa fedha aondoke kwenye tatizo hilo...
14 Reactions
34 Replies
5K Views
Hivi karibuni kumekuwa na hili ongezeko la wanaoitwa wasaliti katika vyama vya siasa.Tumeshuhudia wakishughulikiwa kwa namna tofauti.Napenda kuamini katiba imeheshimiwa na haki ya kujitetea...
0 Reactions
0 Replies
581 Views
Jamani samahani wanajukwaa, naomba kusaidiwa kama kuna mtu anafahamu sehemu zilipo ofisi za TAHEA( tanzania home economic association) zilizopo Dar es salaam, au kama kunisaidia contacts za mtu...
0 Reactions
0 Replies
985 Views
Kamanda Sirro: "Tunamshikilia msanii Vanessa Mdee toka jumatano ambaye taarifa zinaonyesha kuwa ni mtumiaji lakini pia ni msambazaji wa dawa za kulevya, tunaendelea na uchunguzi wetu na...
5 Reactions
81 Replies
13K Views
Kwa jinsi anavyo watesa wazungu kwa kweli anailetea sifa nchi.kumuenzi straika huyu mzalendo wa kwanza kufanikiwa kimpira napendekeza barabara ipewe jina lake.nikijaribu kureason naona haja ipo
2 Reactions
16 Replies
2K Views
UKO WAPI BABA YANGU ASKOFU ZACHARY KAKOBE Injili uliyoihubiri pasipo kuangalia uso wa mtu imehadimika Tanzania! Kila mkristo (na asiye mkristo) mwenye mapenzi mema na kanisa na taifa la...
0 Reactions
31 Replies
9K Views
1:KIJANA JITAMBUE Pana kila sababu ya kijana kujitambua maana kijana anapojitambua anakuwa na uwezo mpana wa kuchanganua mambo kiyakinifu, anakuwa na uwezo wa kuona mbali ki-fikra.. Kijana ambae...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dereva wa bodaboda aliyekuwa amebeba nyavu za samaki, zilizozuiliwa kutumika amepata ajali baada ya kuligonga gari dogo wakati akijaribu kukatiza barabara ili kulikimbia gari la aina ya noah...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu naomba Ushauri. Nilinunua eneo mwaka Jana mwanzoni linalofikia nusu heka, square mita 1200 ! Mwaka huu mchoro wa mipango miji umetoka Mwezi February na katika mchoro huo eneo langu barabara...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Rudisheni hao vijana nyumbani. Wana cheza tu kombolela msituni huko na kuzidi kuota vitambi . Kwanza kagame na magu ni marafiki Hawana uadui na hawakomoani. Wastage of public funds and taxes. Kuna...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Najua kipindi kama cha chaguzi mbali mbali katika vyama ili kupata wawakilishi katika kugombea uraisi kila chama kina taratibu yake,ila tume ya uchaguzi inasubiri majina kutoka katika kila chama...
0 Reactions
1 Replies
879 Views
Wadau, Nimekua nikijiuliza kwa muda mrefu hivi ni sababu gani kuu inayopelekea mikutano ya wadau kwenye haya mashirika ya hifadhi ya jamii kama NSSF,PSPF,PPF,LAPF na GEPF yote kufanyikia Arusha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
TANZANIA ina upungufu mkubwa vitabu vya elimu kwa ajili ya kufundishia (kiada) na kujifunzia (ziada) jambo ambalo limechangia ongezeko la waandishi wengi. Kuibuka kwa wimbi la waandishi wengi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wafanyabiashara 13 wa Wilaya za Babati na Hanang’ Mkoani Manyara, wamesalimisha katoni 1,540 za pombe zilizofungashwa kwenye karatasi (viroba) zenye thamani ya sh140 milioni. Mmeonesha uzalendo...
0 Reactions
3 Replies
952 Views
Wadau salamu sana, Kwa mazoea kawe beach ni sehemu maarufu kwa uchomaji wa samaki jijini,mbali na ukweli kuwa zipo sehemu nyingine kama Meeda sinza,Safari carnivor ambapo mchomaji maarufu wa kawe...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Napendekeza wawajibishwe haiwezekani kuiabisha taifa, maana haiwezekani television ya taifa ikurupuke kiasi hiki aisee! Hii ni aibu ya mwaka
5 Reactions
77 Replies
15K Views
Bango la matangazo lililopo round about ya Mlimani city lina mwanga mkali sana usiku na linawaumiza sana macho madereva wanaotoka ubungo kuelekea Mwenge. Tafadhali wahusika msisubiri accident...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom