Tembomtata
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 266
- 426
Wanajamvi naomba kujua kama service road huwa ni one way or two ways. Leo nimesimamishwa maeneo ya kimara bucha nikiwa service road na traffic akaniambia ni kosa kutumia service road kama two ways. Nimejaribu kuangalia Road Traffic Act ya 1973 na Highway code ya 2002 sijaona. Naombeni majibu tafadhali nahamu yakumrudia nikiwa nimekamilika