Laana inayoitafuta familia/ukoo wa Gwajima

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,929
Family bonding - muunganiko wa kifamilia ni jambo jema sana! Family conflicts - migogoro ya kifamilia ni jambo baya sana... Msingi wa umoja katika ukoo huanza kwenye familia.

Tuna familia na koo zenye migogoro mingi sana vinyogo visasi wivu dhuluma kijicho na mambo yanayofanana na hayo vimeharibu familia na koo nyingi.

Familia maarufu ya Gwajima ni mojawapo! Unapoona wanandugu wanatoa siri za familia nje hasa kwenye vyombo vya habari kwa sababu yoyote ile jua kuna shida kubwa ndani yake.

Sakata la madawa ya kulevya limetuletea yatokanayo kwenye ukoo huu maarufu wa Gwajima kwamba kaka yake Gwajima mchungaji aliugua hadi kufariki na mdogo wake huyu akawaaminisha watoto wa marehemu kaka yake kuwa angemfufua babayao (pengine kwa makubaliano fulani).

Kaka mtu hakufufuka ! Hakuna mtu aliyeyefufuliwa tena baada ya Yesu Kristo kufufua aliowafufua. Watoto na ndugu wakajenga chuki na familia ya Gwajima mchungaji na pengine hakuna waliohangaika kutatua huo mgogoro kwa sababu wanaozijua wenyewe ama pengine walijaribu wakashindwa.

Gwajima mchungaji ana kipaji na karama ya kuhubiri lakini anakitumia vibaya. Gwajima ana uthubutu wa ajabu hayumbishwi na changamoto zake. Ni watu wachache mno wenye hiki kipaji.. Kupitia hili amejijengea umaarufu mkubwa na ni bilionea.

Haya anayofanya ni laana kwa familia na ukoo wake, Gwajima ni muongo sana lakini haogopi kuongopa ni mjanjamjanja mwenye viashiria vingi vya utapeli kwa kutumia jina la Mungu na dini.... God is watching...! Kutokana na hili haambiliki na amekuwa na kashfa na migogoro mingi.

Kuna huyu Gwajima mwanasheria msomi asiye na tafakuri wala hekima! Kwa kutaka kufurahisha kaliba Fulani ya watu na pengine kwa malipo kidogo anamponda live kwenye media ndugu yake na kuleta ishu za kifamilia upenuni... Zaidi pengine akiongozwa na wivu juu ya mafanikio ya nduguye ambaye pengine hana elimu kama yake.

Gwajima mchungaji hajaongea bado kumjibu lakini wawili hawa wanatupa mwanga wanajifunua wakoje huko kwenye ukoo wake.

Kaka mbabe jeuri Mdogo mtu msomi asiye na hekima wala weledi kila mtu ana watu nyuma yake.

Wameanza kumalizana live mpaka nje laana hii itadumu vizazi vingi
 
So huyu bwana mdogo ndo amekufanya uandike story ndefu hiv.. Hivi kunafamilia ambayo hamna kupishana kabisa!? Waliosema ndugu wakigombana chukua jembe ukalime hawakukosea.. Family za kiafrika kupishana ni kawaida.. Sio family ya gwajima ndio ya kwanza unless unataka likuza jambo...
 
Family bonding - muunganiko wa kifamilia ni jambo jema sana! Family conflicts - migogoro ya kifamilia ni jambo baya sana... Msingi wa umoja katika ukoo huanza kwenye familia
Tuna familia na koo zenye migogoro mingi sana vinyogo visasi wivu dhuluma kijicho na mambo yanayofanana na hayo vimeharibu familia na koo nyingi
Familia maarufu ya Gwajima ni mojawapo! Unapoona wanandugu wanatoa siri za familia nje hasa kwenye vyombo vya habari kwa sababu yoyote ile jua kuna shida kubwa ndani yake
Sakata la madawa ya kulevya limetuletea yatokanayo kwenye ukoo huu maarufu wa Gwajima .....kwamba kaka yake Gwajima mchungaji aliugua hadi kufariki na mdogo wake huyu akawaaminisha watoto wa marehemu kaka yake kuwa angemfufua babayao (pengine kwa makubaliano fulani)
Kaka mtu hakufufuka ! Hakuna mtu aliyeyefufuliwa tena baada ya Yesu Kristo kufufua aliowafufua. Watoto na ndugu wakajenga chuki na familia ya Gwajima mchungaji na pengine hakuna waliohangaika kutatua huo mgogoro kwa sababu wanaozijua wenyewe ama pengine walijaribu wakashindwa
Gwajima mchungaji ana kipaji na karama ya kuhubiri lakini anakitumia vibaya. Gwajima ana uthubutu wa ajabu hayumbishwi na changamoto zake. Ni watu wachache mno wenye hiki kipaji.. Kupitia hili amejijengea umaarufu mkubwa na ni bilionea
Haya anayofanya ni laana kwa familia na ukoo wake, Gwajima ni muongo sana lakini haogopi kuongopa ni mjanjamjanja mwenye viashiria vingi vya utapeli kwa kutumia jina la Mungu na dini.... God is watching...! Kutokana na hili haambiliki na amekuwa na kashfa na migogoro mingi
Kuna huyu Gwajima mwanasheria msomi asiye na tafakuri wala hekima! Kwa kutaka kufurahisha kaliba Fulani ya watu na pengine kwa malipo kidogo anamponda live kwenye media ndugu yake na kuleta ishu za kifamilia upenuni... Zaidi pengine akiongozwa na wivu juu ya mafanikio ya nduguye ambaye pengine hana elimu kama yake
Gwajima mchungaji hajaongea bado kumjibu lakini wawili hawa wanatupa mwanga wanajifunua wakoje huko kwenye ukoo wake
Kaka mbabe jeuri Mdogo mtu msomi asiye na hekima wala weledi kila mtu ana watu nyuma yake
Wameanza kumalizana live mpaka nje laana hii itadumu vizazi vingi

Hebu rekebisha hapo ulipoandika kuwa hakuna mtu aliyefufuliwa baada ya Yesu kuwafufua aliowafufua.
Soma hapa..
Matendo ya Mitume 20: 07 - 12... inasema...
7 Hata siku ya kwanza ya juma, tulipokuwa tumekutana ili kumega mkate, Paulo akawahutubu, akiazimu kusafiri siku ya pili yake, naye akafuliza maneno yake hata usiku wa manane.
8 Palikuwa na taa nyingi katika orofa ile tulipokuwa tumekusanyika.
9 Kijana mmoja, jina lake Eutiko, alikuwa ameketi dirishani, akalemewa na usingizi sana; hata Paulo alipoendelea sana kuhubiri, akazidiwa na usingizi wake akaanguka toka orofa ya tatu; akainuliwa amekwisha kufa.
10 Paulo akashuka, akamwangukia, akamkumbatia, akasema, Msifanye ghasia, maana uzima wake ungalimo ndani yake.
11 Akapanda juu tena, akamega mkate, akala, akazidi kuongea nao hata alfajiri, ndipo akaenda zake.
12 Wakamleta yule kijana, yu mzima, wakafarijika faraja kubwa sana.
 
Hawa wawili hawana udugu wa damu. Na ukweli ni kwamba ktk kutapatapa ccm wanadhani kwa kumtumia huyo katibu wao wa zamani kutamdhalilisha mchungaji na kufanya apunguze makali kwenye swala la vyeti vya dogo. Hakuna atakayedanganyika hapa. Na waelewe kumtoa bongo ktk kipindi ambacho bunge linakaribia kuanza hakuwasaidii. Sanasana wanajeopardise nafasi ya premier tu
 
Family bonding - muunganiko wa kifamilia ni jambo jema sana! Family conflicts - migogoro ya kifamilia ni jambo baya sana... Msingi wa umoja katika ukoo huanza kwenye familia
Tuna familia na koo zenye migogoro mingi sana vinyogo visasi wivu dhuluma kijicho na mambo yanayofanana na hayo vimeharibu familia na koo nyingi
Familia maarufu ya Gwajima ni mojawapo! Unapoona wanandugu wanatoa siri za familia nje hasa kwenye vyombo vya habari kwa sababu yoyote ile jua kuna shida kubwa ndani yake
Sakata la madawa ya kulevya limetuletea yatokanayo kwenye ukoo huu maarufu wa Gwajima .....kwamba kaka yake Gwajima mchungaji aliugua hadi kufariki na mdogo wake huyu akawaaminisha watoto wa marehemu kaka yake kuwa angemfufua babayao (pengine kwa makubaliano fulani)
Kaka mtu hakufufuka ! Hakuna mtu aliyeyefufuliwa tena baada ya Yesu Kristo kufufua aliowafufua. Watoto na ndugu wakajenga chuki na familia ya Gwajima mchungaji na pengine hakuna waliohangaika kutatua huo mgogoro kwa sababu wanaozijua wenyewe ama pengine walijaribu wakashindwa
Gwajima mchungaji ana kipaji na karama ya kuhubiri lakini anakitumia vibaya. Gwajima ana uthubutu wa ajabu hayumbishwi na changamoto zake. Ni watu wachache mno wenye hiki kipaji.. Kupitia hili amejijengea umaarufu mkubwa na ni bilionea
Haya anayofanya ni laana kwa familia na ukoo wake, Gwajima ni muongo sana lakini haogopi kuongopa ni mjanjamjanja mwenye viashiria vingi vya utapeli kwa kutumia jina la Mungu na dini.... God is watching...! Kutokana na hili haambiliki na amekuwa na kashfa na migogoro mingi
Kuna huyu Gwajima mwanasheria msomi asiye na tafakuri wala hekima! Kwa kutaka kufurahisha kaliba Fulani ya watu na pengine kwa malipo kidogo anamponda live kwenye media ndugu yake na kuleta ishu za kifamilia upenuni... Zaidi pengine akiongozwa na wivu juu ya mafanikio ya nduguye ambaye pengine hana elimu kama yake
Gwajima mchungaji hajaongea bado kumjibu lakini wawili hawa wanatupa mwanga wanajifunua wakoje huko kwenye ukoo wake
Kaka mbabe jeuri Mdogo mtu msomi asiye na hekima wala weledi kila mtu ana watu nyuma yake
Wameanza kumalizana live mpaka nje laana hii itadumu vizazi vingi
Ss hapo laana ya uko inatoka wp yaani ujinga as mtu mmoja ni laana kwa ukoo?huyo unayezani sjui mdogo wake alifurahishwa na ndgye kuzalilishwa kuwa mps unga at muuzaji?mbona hakujitokeza leo kwa vipesa kidogo amenunuliwa kupambana na ndgye?kufufuka au kufufuliwa ni imani mkiwa na imani mtawafufua watu na kupokea magonjwa na hata kuabudu Molina kuhama hatuku juu ya imani yao ,lkn je yeye ndo aliyekuja huyo marehem he ni kweli mchungaji alichukua pesa kwa ndg ze ili amfufue huyo marehem ?hakika kila cha mwili kitaonja mauti he wanazani kifo akikuwapasha kupokea?kwa ww tu ulieleta mada hii iko siku utakufa wala hutoishi miaka hata 150 hakika utakufa ,usiwe mpumbavu ktk kumnenea mtumishi hayo ww u nani mwenye usiye na imani?je nani amekupa neno me laana ewe mpumbavu?yakupasa utubu.
 
Kama huelewi kitu bora ukae kimya

Nahisi hujafanya utafiti wowote katika hili.Familia nyingi sana hazina maelewano ya dhati.Mbaya zaidi ni pale mmojawapo anapokuwa na uwezo kuliko wengine watampiga vita na kumzushia kila aina ya lawama.Mshambuliaji nguli wa Togo Emmanuel Adebayor aliwahi kutoka hadharani na kulaumu familia yao kwa kumpakazia kumuua ndugu yake kimazingara.Migogoro na Migongano katika Familia ni kitu cha kawaida sana.
 
Tusaidie nn maana ya laana ya ukoo mpumbavu mmoja akiehuka ni laana ya ukoo ?je mwenzenu akiinuliwa ni laana ya uko?nn maana ya laana ya ukoo ndg,he unazani ww ndgzo wote wanakupenda?je hiyo ni laana ya ukoo?mpumbavu mmoja au 2 wakikengeukabni laana ya ukoo nataka kujua.
 
Nisome tena maana hata mimi ni miongoni mwa wanaopinga hilo wazo la laana ya Ukoo.Laana haipatikani kijinga namna hiyo.Kama Chizi mmoja kaamua kutembea mtaani na kuanza kumtukana kaka yake ni matatizo binafsi na sio laana.Kutokuelewana kwa ndugu haina maana lazima laana iwepo maana hata ubongo tunatofautiana na uelewa tunatofautiana.
 
Back
Top Bottom