DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Wanajamvi, habari zenu kwa mpigo!
Kuna kitu kimenishtua leo.
Nilichungulia mkutano wa CCM Dodoma na kuona Hamfrey amechangamka sana ukilingalisha na wajumbe wengine.
Nikaandika polepole (kwa kiingereza) amechangamka.
Baada ya muda nimeona neno slow slow limebadilishwa na kuandikwa Polepole.
Najua mods wamehusika hapa.
Weka maneno mengine ambayo mods huyabadilisha au huyawekea nyota ili tuwe tunayakwepa