Mbwa wangu wametoroka

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
7,013
7,164
wakuu mbwa wangu wametoroka kutoka kwenye banda lao na wameelekea kusiko julikana..... Eneo walikotokea ni Goba mwisho sehemu inaitwa KV Pub sasa kwa yoyote alieko maeneo ya Goba ambae ataona mbwa anashangaa shangaa anicheck kwa namba 0673 91 63 73 zawadi mzuri itatolewa wako mbwa 4 madume 3 na jike moja
 
SERIKALI ISEME MARA NGAPI KWAMBA HAPA KAZI TU. HAYA EM LOG OFF UKAWATAFUTE MBWA WAKO HARAKA. TISS FUATILIENI HII IP ADRESS HAFANYI KAZI ANAULIZIA MBWA WAKE JAMIIFORUMS. AMEKIUKA SERA YA MUHESHIMIWA AMBAYO IMEIGHARIMU CHAMA NA SERIKALI.
 
wakuu mbwa wangu wametoroka kutoka kwenye banda lao na wameelekea kusiko julikana..... Eneo walikotokea ni Goba mwisho sehemu inaitwa KV Pub sasa kwa yoyote alieko maeneo ya Goba ambae ataona mbwa anashangaa shangaa anicheck kwa namba 0673 91 63 73 zawadi mzuri itatolewa wako mbwa 4 madume 3 na jike moja
Karipoti polisi watakupa msaada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom