Kufungwa kwa Daraja/ barabara iendayo Mlalakua Kawe Dar es Salaam

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
KUFUNGWA barabara kwa ajili ya kuhamisha Daraja la Chuma (MABEY BRIDGE) na kuliweka kwenye barabara ya muda (DIVERSION ROAD) katika Daraja la Mlalakua Barabara ya Mwai Kibaki.
Tanroad-1.png
Tanroad-2.png
Tanroad-3.png
 
Hii kazi ilitakiwa ifanyike usiku wa tar 11 kuamkia j2 ili hata isipoenda kwa wakati j3 watu wasipate tabu ...
 
naomba nije kulala kwako maana foleni ya bagamoyo road sijui itakuaje
Ibada ya Leo ulikuwa nzuri sana dua zangu zimesikika. Siku zote jina Miss Natafuta lilikuwa kinywani mwangu. Kwenye sala na dua zangu nililitaja.
Kwenye wimbo na ngonjera nililiimba.
Leo Toto kindakindaki ndani ya nyumba.
Karibu sana Miss Natafuta, njoo nikuonyeshe uzuri wa kuwa mwanamke.
Njoo nikueleze kwanini ilikuwa rahisi kwa Adam kula apple akaacha kula tikiti wakati alikuwa na njaa Kali.
Njoo tufaidi raha za dunia
 
Hii kazi ilitakiwa ifanyike usiku wa tar 11 kuamkia j2 ili hata isipoenda kwa wakati j3 watu wasipate tabu ...
Tatizo ni kwamba jumamosi usiku huwa kunakuwa na purukushani nyingi za wala bata, jpili usiku watu hulala kujiandaa na j3 ya kazi. Anyway, its about time, daraja la muda halipaswi kukaa miaka 30!
 
Back
Top Bottom