Nakushauri peleka katika ofisi zao za chama chao cha walimu mahali ulipoNimeokota wallet ya Boniface Kimambo. Ina hela na vitambulisho vyake vya kazi. Anaonekana ni Mwl.
Anayemjua anitumie ujumbe wa siri (PM).
Kwani buku 10 ni ganda la ndizi sio pesa?Hela inakaa kwenye wallet? Umekuta buku 10 tu basi.