HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,781
- 5,660
Kama sikosei nimemsikia Ndugu PolePole akitamaka kwenye huu mkutano wao kuwa kuna Madiwani na Mbunge wameamua kujipeleka CCM, je anamaanisha waliokuwa Madiwani na waliokuwa Wabunge, yaani kina Machali na Mzee Arfi ambao waliondoka kwenye vyama vyao vya awali tangu mwaka jana tena wakiwa sio Wabunge tena ila walioshindwa kuwa Wabunge?