Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kumekuwepo na utaratibu wa kuwakata mishahara askari magereza wanaofanya makosa mbalimbali ya kinidhamu kama kuchelewa kazini, kutorokewa na mfungwa, askari hukatwa asilimia ya mshahara ya mwezi...
2 Reactions
6 Replies
6K Views
Jeshi la polisi mkoani Morogoro linamshikilia Shija Shabani na mkewe kwa tuhuma za kumuua Magreth Magwila aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari Itete wilayani Malinyi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
-UNYANYASAJI HAUKUBALIKI -TUUNGANE KUPINGA VITENDO VIOVU -Inasemekana eti alimuita nyumbani kuna kazi ya kufanya...Masikini kaka wa watu...
1 Reactions
24 Replies
10K Views
Mama Graca Machel akiongozana na Askofu Michael Msongazila wa jimbo Katoliki Musoma na Mwenyekiti wa Mara Alliance. UONGOZI wa mkoa wa Mara umeshauriwa kuona umuhimu wa kuweka mpango shirikishi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii ni baada ya Wabongo kupiga mahesabu na kuona kama wameingia chaka maana ardhi ni ya serikali na ni bure, sio kama hapa Kenya ambapo inabidi kuwafidia wamiliki wa ardhi. Lakini Museveni...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Tukisoma kitabu cha WAEFESO 4:31,32 tunaona Biblia Takatifu inasema kwamba: "Uchungu wote na ghadhabu na hasira na kelele na matukano yaondoke kwenu, pamoja na kila namna ya ubaya; tena iweni...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mchungaji huyu ameendelea kutema cheche kuwa lina uonevu kwa kuwa kuna watu wanatajwa tu kwa kuhisiwa mfano mwanamuziki Vanessa Mdee aliyetajwa kwa kuhisiwa lakini aliporudi akaswekwa ndani...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Nimekuwa nikijiuliza kama nchi za Afrika ya Mashariki zina kitu kama JF na serikali zao zina msimamo gani na kitu kama JF. Mwenye taarifa za uwepo anijuze!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Marguerite Ward CNBCMarch 13, 2017 Mark Zuckerberg may be one of the most influential tech and business leaders on the planet today, but when he started out he was just another college student...
0 Reactions
0 Replies
854 Views
Naona Leo kamati ya Bunge ya maendeleo ipo sua wakikagua baadhi ya miradi ya sua Leo na waziri Ndalichako naye yupo ngoja tusikie ni Mara ya pili ndani ya mwezi huu waziri Ndalichako anakuja SUA...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hapa tusiokuwa wanasheria (BUSH LAWYERS) ndo tunachanganywa, Hivi ni kwanini wanasheria wakuu/majaji wakuu /viongozi wamekuwa CCM i.e. Chenge and the gang, na hata hawa waliopo wanahudumu ndani ya...
9 Reactions
53 Replies
6K Views
Nanakili kutoka kwa Comrade Dotto Bulendu. _______________________________________________ Gazeti jipya la "Mwelekeo" limendika hii leo kuwa aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca...
0 Reactions
4 Replies
889 Views
Habari zenu ndugu!? Natumai ni wazima kabisa BABA mwenye nyumba anakasirika Mbwa wa jirani wakibweka inawezekana tu huwa wanayo tabia ya kubweka bila sababu, lakini sina uhakika sasa na usiku...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Igweeeee....... Kuna jamaa mmoja amesema kuwa yeye amepata dili la kuuza nywele za binadamu nchini Kenya. Nywele hizo hutumika kutengenezea viti vya ndege... Kwani husaidia viti kutobonyea...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Watu watano kati yao akiwemo mbunge wa Nyamagana Stanslaus Mabula pamoja na mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi John Doto wamenusurika kifo baada ya gari waliyokuwa wakisafiria kutoka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SALAM. Miongoni mwa wabunge machachari CCM ni Mh Kangi Lugola, Mbunge wa Mwibara (CCM). Mbunge huyu amekuwa na uthubutu mkubwa sana pindi serikali iliyopo madarakani inapokuwa inaenda ndivyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KUISOMA NAMBA - 14/06/2016 Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu Hata wale waloimba, kuimba hawathubutu Jukwaani walitamba, sasa waufyata fyatu Huku kuisoma namba, hakumchagui mtu Uwe wewe wa...
8 Reactions
49 Replies
6K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ujio wa Katibu UN, Rais amepoteza fursa kimataifa! Nimesikitishwa na kushangazwa sana na hatua ya Mhe Rais, John Magufuli, kutofanya mazungumzo ya ana kwa ana na...
0 Reactions
0 Replies
631 Views
Hodi humu ndani,. Siku zote najiuliza kuna mgawano wa majukumu kati ya polisi wa usalama wa raia na polisi wa usalama barabarani? Maana inachanganya kidogo pale askari wa usalama wa raia...
1 Reactions
2 Replies
740 Views
Wale mlio karibu na huyu mtangazaji wa Clouds tv Kipindi cha 360 Samuel Nathaniel Sasali a.k.a Emolo tafadhalini hebu jaribuni kumtafutia Kazi kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwani kwa...
1 Reactions
39 Replies
6K Views
Back
Top Bottom