Naomba kueleweshwa kuhusu mgawanyo wa majukumu kati ya polisi

Tlaghasi

Member
Feb 16, 2017
5
3
Hodi humu ndani,.

Siku zote najiuliza kuna mgawano wa majukumu kati ya polisi wa usalama wa raia na polisi wa usalama barabarani? Maana inachanganya kidogo pale askari wa usalama wa raia anapoingilia kazi za askari wa usalama barabarani.

Naombeni ufafanuzi kidogo kwa hili wadau.
 
Lazima kuwe na gawano la majukumu sema si unajua hii nchi inaongozwa kimisifa kila mtu anataka anataka aonekane anajua.
Kwani hukumsikia amiri jeshi mkuu anatamani kua na cheo cha kamanda Siro?
 
Nahisi wamewagawa kwa misingi ya kurahisisha majukumu yao ila sisi wananchi tunapaswa kutii sheria tu.
 
Back
Top Bottom