Kumekuwepo na utaratibu wa kuwakata mishahara askari magereza wanaofanya makosa mbalimbali ya kinidhamu kama kuchelewa kazini, kutorokewa na mfungwa, askari hukatwa asilimia ya mshahara ya mwezi husika na fedha hizo zimekuwa zinaingizwa kwenye akaunti maalumu, je pesa hizo zinaingia kwenye mfuko gani wa serikali.
Hali hii pia imefanya wakuu wa magereza kuendelea kuwanyanyasa askari wadogo na kuwakata mishahara yao, mkuu wa gereza ambae kwenye kituo chake hakichangii pesa nyingi huhojiwa na huweza kuondolewa hapo. Lakini pia sheria inasemaje kuhusu kumkata mtumishi mshahara wake, kwanini jeshi la magereza lisitumie mbinu zingine za kijeshi kutoa adhabu kwa askari wake baadala ya kuwakata mishahara mishahara yao.
Suala lingine ni mapato yatokanayo na maduka na mabwalo ya magereza, faida zinazopatikana kwenye mabwalo hayo zinaenda wapi? Ni kwanini watumike askari kuuza kwenye mabwalo hayo baadala ya kuajiri raia kuuza humo, fikiria gharama zinazotumika kumuandaa askari halafu askari huyo anaenda kuuza bwalo, haya ni matumizi mabaya ya rasilimali za taifa, askari ambaye analipwa kwa mwezi zaidi ya laki saba, anauza kwenye duka ambalo faida yake kwa mwezi haizidi laki tano, jeshi la magereza halioni kuwa hii ni kuitia serikali hasara.
Mhe Mwigulu Nchemba mulika jeshi la magereza lina makandokando mengi sana.