Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Mchungaji huyu ameendelea kutema cheche kuwa lina uonevu kwa kuwa kuna watu wanatajwa tu kwa kuhisiwa mfano mwanamuziki Vanessa Mdee aliyetajwa kwa kuhisiwa lakini aliporudi akaswekwa ndani haraka, lakini huyu Daudi Bashite anayetajwa na kila mtu anaondooka nje ya nchi na kurudi lakini hakuna hatua yoyote inayochukuliwa dhidi yake