SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,841
- 1,843
Hapa tusiokuwa wanasheria (BUSH LAWYERS) ndo tunachanganywa, Hivi ni kwanini wanasheria wakuu/majaji wakuu /viongozi wamekuwa CCM i.e. Chenge and the gang, na hata hawa waliopo wanahudumu ndani ya serikali ya CCM, lakini CCM yoote imepanic kuhusu Urais wa TLS kushikwa na mpinzani mmoja tu.
Naomba kufafanuliwa maswala yafuatayo, ili sisi ma BUSH LAWYERS tuweze kuelewa na kufahamu
Naomba kufafanuliwa maswala yafuatayo, ili sisi ma BUSH LAWYERS tuweze kuelewa na kufahamu
- Advantage gani wapinzani watazipata ikiwa mpinzani atapata nafasi ya Urais TLS
- Disadvantage gani serikali itakumbana nazo ikiwa TLS itaangukia kwa wapinzani
- Ni nguvu gani ambazo Rais wa TLS anazo na Mwanasheria mkuu/Jaji mkuu hana?
- Kama Jaji mkuu /kiongozi ndo huwaapisha mawakili wote, (correct me if am wrong) je Rais wa TLS ambaye ni wakili wa kawaida na Jaji mkuu nani yuko juu ya mwenzake?
- TLS ina mamlaka yoyote juu ya mihimili miwili ya EXECUTIVE na PARLIAMENT ?? (not parliament of owls)
- Je TLS ina tofauti na Vyama vingine vya kitaaluma kama kile cha WALIMU, WAHASIBU, WAKUTUBI,WAGAVI na nk
- kama havina tofauti je , huko pia wapinzani hupewa mikiki mikiki wakigombea Uongozi
- Kuna uhusiano wowote kati ya TLS na uchaguzi wa ZANZIBAR?
- Je tundulisu akijitoa na akagombea kwa mfano MSANDO bado itakuwa tatizo??