chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,389
- 24,949
Watu watano kati yao akiwemo mbunge wa Nyamagana Stanslaus Mabula pamoja na mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi John Doto wamenusurika kifo baada ya gari waliyokuwa wakisafiria kutoka Dodoma kuelekea Dar es Salaam kupata ajali katika eneo la wame Sokoine.
Chanzo : ITV
Chanzo : ITV