Morogoro: Mume na Mke watuhumiwa kwa mauaji ya mwanafunzi

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
2,012
5,571
Jeshi la polisi mkoani Morogoro linamshikilia Shija Shabani na mkewe kwa tuhuma za kumuua Magreth Magwila aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari Itete wilayani Malinyi.

Kamanda wa polisi mkoani Morogoro, Ulrich Matei amesema tukio hilo limetokea tarehe pili mwezi huu katika tarafa ya Mtimbira ambapo mtuhumiwa anasadikiwa kumchoma marehemu na kitu chenye ncha kali.

Mtuhumiwa amekuwa akimtuhumu marehemu kumfanyia ukuwadi mkewe.


Chanzo: TBC1
 
Back
Top Bottom