Wale mlio karibu na huyu mtangazaji wa Clouds tv Kipindi cha 360 Samuel Nathaniel Sasali a.k.a Emolo tafadhalini hebu jaribuni kumtafutia Kazi kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwani kwa...
Kwanza niseme, siungi mkono cheti feki au mambo yoyote bandia maana ni kinyume na taratibu za nchi yetu tulizokubaliana ikithibitika pasipo shaka hatua kali zichukuliwe...
Ni maswali...
Hivi sasa hata mtoto mdogo ukimtamkia neno Koromije atakwambia ni nini. Hali hii imechochea umaarufu mkubwa kwa shule inayodaiwa kiongozi mkubwa na mwenye jina kubwa hivi leo kusomea japo. Kwa...
Hbr wana jf kuna mwalimu huko mkoa wa Tanga kanilalamikia mpaka anasema anafikiria mengi huku akisema anaanza kuichukia kazi baada ya kutendewa manyanyaso na watu flani wenye nguvu ya...
Bus,kampuni ya Mombasa Raha imepata ajali wilayani Mbogwe mkoani Geita asubuhi hii na kuua Dereva wa Bus hilo ndugu Mlingwa.
RIP dreva bwana Mlingwa
Picha zaidi zitawafikia punde
Source: Moja ya...
Elephants are highly intelligent animals, and can express compassion, self-awareness, and grief. Elephants often play together and sometimes show affection through a “hug”- wrapping their trunks...
Katika maisha ya kila siku unakuta mtu anahangaika na anafanya Kazi kwa bidii sana ila hana maendeleo.
Akifanya Kazi wiki wiki mbili anatimuliwa bila kosa.
Akishika pesa tatizo linatokea either...
Naipongeza serikali kwa kupiga marufuku viroba. Afya ya vijana hapa mtaani imeanza kuimarika lakini bado kuna wauza gongo hasa usiku bado wanatamba. Ile amri ya kuwakamata madiwani na wenyeviti wa...
Ninahitaji sana kujua interview ya kuingia kidato cha tano kwenye ile SHULE nzuri sana iliyoko Arusha ya Cornerstone leadership academy kwa Dar itafanyika lini na itafanyikia sehemu gani?
March 11, 2017
Zanzibar, Tanzania
NDEGE KUBWA AIRBUS a350 ETHIOPIAN AIRLINES KUCHANGIA PATO LA UTALII
Ndege kubwa ya shirika la ndege la Ethiopian Airlines aina ya Airbus A350XWB imetua ktk...
Kwa hali ilivyo sasa, suala la ajira limefumbiwa macho na wanaohusika kutoa vibali vya ajira wala hata hawana dalili zozote kwamba hili suala litapatiwa ufumbuzi hivi karibuni zaidi ya kusema tu...
Wana jamvi,
Nina kasafari ka kikazi Zenji.
Natafuta hoteli nzuri full AC ya bed and breakfast.
Iwe pale mjini (town).
Bajeti yangu ni elfu 30-40 per night nitakaa siku 10.
Natanguliza shukran.
Salam ndugu zangu.
Anayependa sana mpira anaweza kuvumilia asiangalie mpira kila mara
Anayependa sana pool table anauwezo mkubwa wa kuvumilia asicheze kwa muda fulani
Anayependa wanawake ana...
Salami wana JF.
Kuna kiwanja cha ndege chenye free wifi hapa kwetu Tanzania? Aitpot ya Dsm, Kilimanjaro na Songwe n kubwa sana.
Wenzetu hata Kenya tu hapo, ukitua unatekenya vidole mtandao safi...
Wakuu salamu.
Kwanza natanguliza Samahani Kwa mtu yeyote au watu watakaokereka na hili post yangu, lengo ni kuelimishana, Kama ilivyo kawaida ya JF tunapeana maarifa mbalimbali.
Majina huwa ni...
Kwa sababu ufahamu wangu Rais ni wa nchi lakini utasikia Mara Rais wa chama fulani mara utasiki Rais wa shirika fulani, kwani nchi inakuwa na marais wangapi?
Ukiachana na huyu wa nchi hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.