donniebrasco
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 887
- 771
Habari zenu ndugu!? Natumai ni wazima kabisa
BABA mwenye nyumba anakasirika Mbwa wa jirani wakibweka inawezekana tu huwa wanayo tabia ya kubweka bila sababu, lakini sina uhakika sasa na usiku tulionao MBWA wamebweka sana na pia ALARM YA NYUMBANI KWAKE pia imelia sana ni mawazo yangu inawezekana kuna TATIZO ni busara kwa BABA kuchungulia tu kwa sababu yuko macho bado hajasinzia na MBWA amewasikia na pia ALARM YAKE mwenyewe kaisikia .
Mke na watoto wamesikia pia na wanaogopa kumwambia wamebaki tu chini ya kitanda wengine kwenye kabati hawajui kitakachotokea inawezekana kabisa hakuna kitakachotokea ni uoga wao tu labda ni MBWA kama kawaida yao wameamua kubweka tu tena ni wa JIRANI na labda ALARM imeharibika pia imelia tu labda ni kweli hakuna hatari yoyote lakini naamini ni BUSARA kama BABA huyu ataamua kwa dhati kuhakikisha na kuangalia ili kama kuna TATIZO iwe ni WEZI au MAADUI wanataka kumdhuru yeye na familia yake aweze japo kuchukua tahadhari iwe ni silaha au kuomba msaada kwa majirani au hata polisi.
Na hawa MBWA ni kweli kuna mara kadhaa wamesaidia kulinda nyumba yake kwa kelele za kubweka kwao japo sio MBWA wake lakini pia kuna kipindi huwa wanabweka tu kama kawaida yao.
Na kuhusu ALARM huwa inalia mara chache sana iwe kimakosa au hata kukiwa na tatizo tena kwa SAUTI ndogo tofauti na usiku huu tulionao.
Wewe unaonaje!??